• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Shirika la Ndege la Ethiopia kuanza safari ya moja kwa moja kutoka Addis Ababa hadi Chicago

  (GMT+08:00) 2018-02-12 20:13:23

  Shirika la Ndege la Ethiopia limetangaza kuwa litaanza safari ya moja kwa moja kutoka Addis Ababa hadi Chicago kuanzia Juni 2, 2018.

  Abiria wa West bound kutoka eneo zima la Afrika watapandia ndege ya kuenda Chicago na maeneo mengine kupitia kitovu cha Addis Ababa.

  Ndege hii, itapiga jeki ukuaji wa uchumi na mahusiano ya watu kati ya U.S. na Afrika.

  Kwa kifupi Ethiopia itawezesha mtiririko mkubwa wa biashara, uwekezaji, na utalii.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako