• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ziara ya rais wa China mkoani Sichuan ni msukumo mkubwa kwa kuondoa umasikini

  (GMT+08:00) 2018-02-14 08:04:28

  Rais Xi Jinping wa China amefanya ziara katika mkoa wa Sichuan ulioko kusini magharibi mwa China, na kukutana na familia za wanakijiji wa mkoa huo.

  Katika ziara hiyo iliyofanyika wakati wachina wengi wakirudi makwao kwa ajili ya kuwa na familia zao kusherehekea sikukuu ya Spring, rais Xi alikutana na maofisa na wanakijiji wa kabila la Yi katika eneo la milima na kujadili njia za kuondokana na umasikini.

  Pia rais Xi alifuatilia mabadiliko yaliyotokea katika miaka 10 iliyopita huko Yingxiu, kaunti ya Wenchuan, ambako tetemeko lenye nguvu ya 8.0 kwenye kipimo cha Richter lilitokea na kusababisha vifo vya zaidi ya watu elfu 80 Mei 12 mwaka 2008.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako