• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Uganda ahimiza uzinduzi wa haraka wa eneo la biashara huria la bara la Afrika

    (GMT+08:00) 2018-02-16 17:24:22

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amehimiza kuzinduliwa haraka kwa eneo la biashara huria la bara la Afrika, ili kuboresha biashara na ukuaji wa uchumi barani humo.

    Rais Museveni amesema hayo jana wakati akitoa hotuba kwa ujumbe wa wanajeshi kutoka jumuiya ya Afrika Mashariki katika sehemu ya Butaleja. Pia amesema eneo la biashara huria la bara litahimiza biashara katika kanda hiyo.

    Ameongeza kuwa sehemu kubwa ya Afrika ilikuwa ukoloni na kuharibiwa na wakoloni. Naheshimu juhudi za viongozi barani Afrika kutokana na mshikamano wao. Ajenda muhimu zaidi wakati huohuo ni kuunda eneo la forodha la bara. Tulijadili ajenda hiyo katika mikutano ya awali na kutafuta njia za kutimiza lengo hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako