• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Kiwanda cha matunda chafunguliwa Nakaseke

    (GMT+08:00) 2018-02-20 18:12:59
    Wakulima katika wiaya ya Nakaseke nchini Uganda sasa wamepata soko la matunda yao baada ya kiwanda cha kusindika matunda kujengwa wilayani humo.

    Kiwanda hicho kimefunguliwa na na rais Yoweri Museveni na kimejengwa kwa ghamra ya shilingi bilioni 1.6.

    Wakulima wanasema kiwanda hicho kitasaidia kukuza kilimo biashara hasa cha maembe.

    Meneja wa kiwanda hicho Majorie Mugenyi, amesema tangu desemba wameuza tani 50 za maembe na nanasi zilizokausha katika soko la Marekani Canada na China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako