• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • CPC kufanya mkutano wa 3 wa wajumbe wote wa kamati kuu ya 19

    (GMT+08:00) 2018-02-24 19:05:53

    Ofisi ya siasa ya Kamati kuu ya 19 ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC leo imefanya mkutano, na kuamua kuitisha mkutano wa 3 wa wajumbe wote wa kamati hiyo tarehe 26 hadi 28 mwezi huu.

    Mkutano huo pia umejadili ripoti ya kazi iliyotolewa na ofisi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako