• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China asisitiza umuhimu wa katiba

    (GMT+08:00) 2018-02-25 18:24:45

    Rais Xi Jinping wa China jana amesisitiza kuwa katiba ni muhimu katika mchakato wa shughuli zote za kuendeleza China..

    Rais Xi ameyasema hayo alipoendesha mkutano wa ofisi ya siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC. Amesema tangu kuanzishwa kwa CPC, chama hicho kimetilia maanani ujenzi wa katiba na sheria. Amesema wakati China inapojenga jamii yenye maisha bora, nchi ya ujamaa yenye mambo ya kisasa kwa pande zote, na kutimiza ndoto ya China, kukamilisha katiba na sheria ni muhimu zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako