• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mawazo ya rais Xi Jinping kujumuishwa kwenye katiba

    (GMT+08:00) 2018-02-25 18:29:58

    Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China imependekeza kuandika Mawazo ya Xi Jinping kuhusu Ujamaa wenye Umaalum wa China katika Zama Mpya kujumuishwa kwenye katiba ya nchi hiyo.

    Kamati hiyo pia imepedekeza Mtazamo wa Kisayansi kwa Maendeleo pia ujumuishwe kwenye katiba ya nchi. Mapendekezo hayo yamewekwa wazi kwa umma hii leo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako