• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia: Taifa inathibitisha uwezekano wa kiuchumi wa gesi asilia

    (GMT+08:00) 2018-02-26 20:27:04

    Wizara ya migodi, ya Gesi Asili na Mafuta ya petroli nchini Ethiopia imethibitisha uwezekano wa kiuchumi wa gesi asilia na inafanya kazi kuendeleza Ogaden kufanya mikataba na makampuni mbalimbali ya kuchunguza madini.

    Waziri wa migodi ya gesi ya asili na mafuta ya petroli, Motuma Maekassa anasema, kuna fursa nzuri kwa Ethiopia kutumia vizuri ufumbuzi wa maliasili huko Ogaden kwa kuwa wana sera na kanuni nzuri za madini.

    Aidha anasema Kuna rasilimali nyingi za asili katika sekta yake, lakini Ethiopia bado haijaendeleza, kwa sababu mbalimbali.

    Waziri anasema, faida ya sekta ya madini kwa serikali bado ni ndogo.

    Faida ya sekta ya madini inatoa kwa uchumi wa Taifa inakadiriwa kuwa asilimia 2 tu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako