• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: MTN yapunguza viwango vya data

    (GMT+08:00) 2018-02-26 20:29:44

    Kampuni ya mawasiliano ya MTN Uganda, imerekebisha viwango vya data ili kuendelea kutoa mtandao wa bei nafuu kwa waganda.

    Kupungua kwa data inatarajiwa kuunganisha watu wengi na mtandao, kuwezesha ukuaji wa biashara na kuwezesha mawasiliano kupitia njia za mtandao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako