• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kituo cha habari cha mikutano miwili cha mwaka 2018 chafunguliwa

    (GMT+08:00) 2018-02-27 20:54:12

    Kituo cha habari cha mikutano miwili ya mwaka huu kimefunguliwa hapa Beijing.

    Mkutano wa kwanza wa bunge la 13 la Umma la China na mkutano wa kwanza wa Baraza la 13 la Mashauriano ya Kisiasa la China inatarajiwa kufanyika Machi 3 na 5 hapa Beijing.

    Mpaka sasa wanahabari zaidi ya elfu 3000 kutoka ndani na nje ya China wameandikishwa kuripoti mikutano hiyo miwili, kati yao wanahabari elfu 2 wanatoka China bara na wengine elfu 1 wanatoka Hong Kong, Macau, Taiwan na nchi za nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako