• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Kombe la FA Uingereza. Swansea yashinda na kufuzu robo fainali

    (GMT+08:00) 2018-02-28 10:02:31

    Swansea City imefuzu hatua ya robo fainali ya kombe la FA nchini Uingereza kutokana na ushindi wa jumla wa magoli 2-0 iliyoyapata jana kwenye mechi ya marudio dhidi ya Sheffield Wednesday.

    Magoli ya Swansea yalipatikana katika kipindi cha pili kupitia Jordan Ayew na Nathan Dyer, hivyo inasonga mbele ambapo itakutana na mshindi wa mechi ya leo kati ya Tottenham na Rochdale inayopigwa leo mjini London.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako