• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Yaliyomo katika ripoti ya 19 ya Bunge la Umma la China yachapishwa kwa Kichina na Kiingereza

    (GMT+08:00) 2018-02-28 18:42:22

    Mambo yaliyoandikwa kwenye ripoti iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, Xi Jinping, katika mkutano wa 19 wa CPC yamechapishwa ndani na nje ya China kwa lugha za Kichina na Kiingereza.

    Ripoti hiyo "Kukamilisha Kujenga Jamii yenye Maisha Bora kwa Pande zote, na Kupata Mafanikio Makubwa ya Ujamaa wenye Umaalumu wa China katika Kipindi Kipya", iliwasilishwa tarehe 18 Oktoba mwaka jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako