• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • FIA yataka Kenya kurejea katika mashindano ya dunia

  (GMT+08:00) 2018-03-01 10:15:50

  Rais wa shirikisho la mchezo wa kukimbiza magari dunaini (FIA) Jean Todt ameitaka Kenya kuhakikisha kuhakikisha usalama wa barabarani unarejeshwa ili nchi hiyo irejee katika mashindano ya kimataifa ya mchezo wa kukimbiza magari duniani.

  Todt amesema Kenya ina uwezo mkubwa katika mchezo huo na inastahili kurejea katika kalenda ya mashindano. Rais huyo amefanya ziara nchini Kenya kutathmini usalama wa eneo la nchi hiyo kuwa na mashindano hayo makubwa duniani.

  Serikali ya Kenya imesema imetenga dola za Marekani milioni 2 kufanikisha nchi hiyo kurejea katika medani za kimataifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako