• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Rais Kenyatta asisitiza matumizi bora ya fedha

    (GMT+08:00) 2018-03-01 19:25:20

    Rais Uhuru Kenyatta amewaambia maafisa wakuu wa serikali wanaoshughulikia matumizi ya fedha kuwa hakuna nafasi ya ubathirifu na wizi wa fedha kwenye serikali yake na watakaoptikana na hatia watachukuliwa hatua ka

    Alitoa onyo kwa makatibu wa wizara, maafisa wakuu watendaji, wakurugenzi wasimamizi, na wakurugenzi wakuu wa mashirika ya serikali na manaibu wa machancella wa vyuo vikuu vya umma dhidi ya matumizi mabaya ya fedha.

    Akiongea katika ikulu ya Nairobi kwenye mkutano wa ufahamishaji wa makatibu wa wizara na wakuu wa tume na mashirika ya umma, Rais alisema kuwa matumizi ya fedha za umma ni muhimu katika kuafikia mpango wa nguzo nne kuu za maendeleo ambao unalenga utoaji makazi kwa Wakenya, kuhakikisha nafasi zaidi za kazi kupitia utengezaji bidhaa, kukabiliana na ukosefu wa chakula na utoaji wa huduma za afya kwa wananchi wote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako