• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkutano wa kwanza wa Bunge la 13 la Umma la China wafunguliwa

  (GMT+08:00) 2018-03-05 09:08:17

  Mkutano wa kwanza wa awamu ya 13 ya Bunge la Umma la China leo asubuhi umefunguliwa hapa Beijing. Katika mkutano huo, waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang ametoa ripoti kuhusu utendaji wa serikali katika miaka mitano iliyopita kwa niaba ya baraza la serikali, huku akitoa mapendekezo kwa ajili ya utendaji wa serikali kwa mwaka huu, ambayo yatajadiliwa kwenye mkutano huo.

   

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako