• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mchango wa china China kwa uchumi wa dunia uzidi 30%

    (GMT+08:00) 2018-03-05 09:32:59

    Kutokana na utendaji kazi ywa serikali ya China, katika muda wa miaka mitano iliyopita, thamani ya jumla ya uzalishaji wa China imefikia yuan trilioni 82.7 kutoka yuan trilioni 54, na kuongezeka kwa asilimia 7.1 kwa mwaka. Ongezeko hilo limefanya mMchango wa China kwa uchumi wa dunia umezidi asilimia 30.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako