• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping atoa pongezi kwa ushirikiano kati ya vyama mbalimbali katika zama mpya

  (GMT+08:00) 2018-03-05 11:39:55

  Katibu mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Xi Jinping jana alikutana na wajumbe wa Umoja wa demokrasia wa China, wajumbe wa Chama cha Zhigong cha China, watu wasio na chama, na wajumbe wa Shirikisho la wachina waliorudi kutoka ng'ambo la China, na wamejadili pamoja mambo ya taifa.

  Bw. Xi alisema mabadiliko makubwa ya kihistoria yametokea kwenye chama chetu, nchi yetu na wananchi wetu na majeshi katika miaka mitano iliyopita, mafanikio hayo si rahisi kupatikana, nayo yalitokana na uongozi thabiti wa chama chetu na juhudi za pamoja za watu wa makabila mbalimbali wa China, na ni juhudi na busara za wajumbe wa vyama mbalimbali vya kidemokrasia, watu wasio na chama, makundi mbalimbali ya umma na wajumbe wa baraza la mashauriano ya kisiasa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako