• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa mpango wa utekelezaji wa kusitawisha vijiji mwaka huu

    (GMT+08:00) 2018-03-05 12:01:37

    Ripoti ya kazi ya serikali imeeleza kuwa, ili kutekeleza kwa nguvu kubwa mikakati ya kusitawisha vijiji, serikali itatunga mpango kwa njia ya kisayansi, kukamilisha mfumo na taratibu za kuendeleza na kuungana kwa miji na vijiji, na kuhimiza mageuzi ya muundo wa utoaji wa kilimo.

    Ripoti hii imeonesha kuwa, China itaendeleza "Mfumo wa mtandao wa internet unaoongezwa na kazi ya kilimo", itaongeza kipato cha wakulima kwa njia mbalimbali, kuboresha miundombinu za utoaji maji, utoaji umeme na upashanaji habari vijijini, na itapanga ujenzi wa barabara mpya zenye kilomita laki mbili vijijini. Na China itaanzisha kampeni ya miaka mitatu kuhusu kushughulikia vizuri mazingira ya wakazi vijijini, na kuhimiza "mapinduzi ya vyoo" vijijini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako