• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: mfumuko wa bei chini waendelea

    (GMT+08:00) 2018-03-05 19:19:32

    Bei ya bidhaa nchini Uganda inaendelea kupanda polepole, Ofisi ya Takwimu ya Uganda (UBOS) imesema.

    Ripoti ya bei ya wanunuzi iliyotolewa katika ofisi ya serikali huko Kampala ilibainisha kuwa mfumuko wa bei wa mwezi Februari 2018 imetulia kwa asilimia 0.0 ikilinganishwa na asilimia 0.3 mwezi uliopita.

    Ingawa kulikuwa na ukuaji wa polepole katika bei za chakula, vileo, mavazi, nyumba, usafiri, mikahawa, mawasiliano ndiyo sababu kuu inayosukuma mfumuko wa bei chini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako