• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China ina imani ya kutimiza lengo la ongezeko la asilimia 6.5 la uchumi mwaka huu

    (GMT+08:00) 2018-03-06 17:22:59

    Mkurugenzi wa kamati ya maendeleo na mageuzi ya China Bw. He Lifeng amesema, China ina imani ya kutimiza lengo la ongezeko la asilimia 6.5 la uchumi mwaka huu.

    Akizungumza na waandishi wa habari hii leo, Bw. He amesema, mwaka huu matumizi ya China yanaweza kuongezeka kwa madhubuti, na kutokana na maendeleo ya sekta mpya mbalimbali na sekta ya huduma ya kisasa, matumizi huenda yataleta zaidi ya asilimia 60 ya ongezeko la uchumi. Amesema, hivi sasa China inapanga na kuchukua hatua mbalimbali za kuhimiza uwekezaji katika uchumi wa viwanda, na mchango wa uwekezaji kwa ongezeko la uchumi utadumisha karibu theluthi moja.

    Amesema biashara ya China kwa nchi za nje inaweza kuongezeka kwa madhubuti, na kuleta ongezeko la asilimia 8 hadi asilimia 9 la uchumi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako