• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Mabaraza mapya ya miji kukosa pesa Uganda

    (GMT+08:00) 2018-03-06 20:00:24

    Waziri wa fedha nchini Uganda Matia Kasaija amesema hakuna pesa za kufadhili oparesheni katika mabaraza mapya ya miji ambayo yameanzishwa na wizara ya seikali za mitaa.

    Wziri Kasaija amesema hakukuwa na mawasiliano rasmi kutoka kwa wizara ya serikali za mitaa na hivyo kwenye bajeti ya 2018/2019 hakuna pesa zilizotengwa kwa shughuli hizo.

    Wizara ya serikali za mitaa iliunda baraza 217 za miji.

    Kamishena wa usimamizi wa miji Justinian Niwagaba, amesema kati ya baraza hizo, 126 zilitarajiwa kuanza kuhudumia wananchi mwezi Juali mwaka 2017 na nyingine 91 zikianza kwenye bajeti ya 2018/2019.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako