• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Real Madrid yatinga robo fainali

    (GMT+08:00) 2018-03-07 09:46:26
    Michezo ya marudiano ya michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya ilichezwa usiku wa March 6 barani Ulaya kwa michezo miwili kupigwa, Paris Saint Germain ya Ufaransa wao walikuwa wenyeji wa Real Madrid ya Hispania wakati Liverpool walikuwa wenyeji wa FC Porto ya Ureno katika uwanja wa Anfield.

    Mchezo kati ya PSG dhidi ya Real Madrid, Madrid wakiongozwa na staa wao Cristiano Ronaldo wamefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali kwa kupata ushindi wa magoli 2-1, magoli ya Real Madrid yakifungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 51, Casemiro dakika ya 80 wakati goli la PSG lilifungwa na Edinson Cavani dakika ya 71.

    Nazo Liverpool na FC Porto zimetoka sare ya bila kufungana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako