• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Simba SC yakataa uteja,yatoka sare na Al Masry.

  (GMT+08:00) 2018-03-08 09:17:48

  Mchezo wa kwanza wa raundi ya kwanza ya kombe la shirikisho Afrika baina ya wenyeji, Simba Sports Club na Al Masry ya Misri umemalizika kwa sare ya 2-2 usiku wa jana mchezo uliopigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

  Kwa matokeo hayo yanamaanisha Simba wanahitaji kwenda kupigania ushindi wa ugenini siku 10 zijazo mjini Cairo Misri ili kusonga mbele.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako