• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • wachezaji watakiwa kujifua

    (GMT+08:00) 2018-03-08 09:19:21
    Wachezaji wa mpira wa kikapu nchini Uganda watakiwa kuanza kujifua kwa mazoezi binafsi kabla ya kuitwa katika timu ya taifa ya kikapu ya nchi hiyo kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya kufuzu kombe la dunia mpira wa kikapu.

    Makocha wa timu za vilabu vya mpira wa kikapu Mandy Juruni na Nicholas Natuhereza wameeleza kuwa wachezaji wanapaswa kufanya mazoezi wenyewe binafsi kwanza ili kujiweka fiti kabla ya kuchaguliwa kujiunga na timu ya taifa.

    Michuano ya kufuzu kombe la dunia kwa mpira wa kikapu utafanyika mwakani huku Uganda imepangwa kundi B ikiwa na timu za mwenyeji wa michuano hiyo Mali, Rwanda na Nigeria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako