• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa China azungumzia uhusiano kati ya China na Afrika

    (GMT+08:00) 2018-03-08 10:47:42

    Kwenye mkutano na waandishi wa habari kuhusu sera ya diplomasia na uhusiano na nje wa China uliofanyika kwenye kituo cha habari cha mkutano wa kwanza wa Bunge la 13 la umma la China, waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi alipozungumzia sera ya diplomasia na uhusiano na nje wa China, amesema mkutano wa wakuu wa Baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika utafanyika hapa Beijing mwezi Septemba. Kazi muhimu ya mkutano huo ni "Ukanda Mmoja, Njia Moja". Ndugu wa nchi za Afrika wataweza kutumia fursa ya mkutano huo, kushiriki kikamilifu kwenye ujenzi wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja", na kutia nguvu mpya kwenye uhusiano wa wenzi wa kimkakati kati ya China na Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako