• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping kushiriki kwenye mambo ya diplomasia ya China

    (GMT+08:00) 2018-03-08 11:53:16

    Waziri wa mambo ya nje wa China amesema mwaka huu rais Xi Jinping ataendelea kushiriki kwenye mambo ya diplomasia, na kufungua ukurasa mpya wa mambo hayo yenye umaalum wa China katika zama mpya.

    Waziri huyu pia amedokeza kuwa, mwaka huu rais Xi atakwenda Afrika Kusini, Papua New Guinea na Argentina kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za BRICS, mkutano usio rasmi wa viongozi wa jumuiya ya APEC na mkutano wa viongozi wa kundi la nchi 20.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako