• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda:Serikali kuwekeza kwenye miradi ya mashinani.

  (GMT+08:00) 2018-03-08 18:55:31

  Rwanda imetangaza kuwekeza fedha zaidi katika miradi ya kuinua maisha ya kiuchumi ya wasichana wanaoishi mashinani.

  Kupitia mpango wa ustawi wa jamii,wizara ya masuala ya jinsia na utamaduni miradi maalum itaanzishwa kila mkoa kuwezesha wanawake na vijana katika sekta za kilimo,uchukuzi,afya na elimu.

  Katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wanawake,wizara ya jinsia aidha imejitolea kujenga vituo vya afya vitakavyotoa matibabu ya saratani .

  Utafiti wa mwaka 2018 unaonyesha kwamba asilimia 78 ya watu milioni 37 Uganda huishi sehemu za mashinai na hivyo wanahitaji huduma bora za maendeleo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako