• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa Marekani anapanga kukutana na kiongozi wa Korea Kaskazini

  (GMT+08:00) 2018-03-09 17:38:01

  Rais Trump amesema suala la Peninsula ya Korea limepata maendeleo makubwa, lakini pia vikwazo vya Marekani dhidi ya Korea Kaskazini vitaendelea hadi makubaliano yatakapofikiwa. Hata hivyo, haijawekwa wazi mkutano huo utafanyika lini na katika sehemu gani..

  Mkurugenzi wa ofisi ya ulinzi wa usalama wa taifa wa Ikulu ya Korea Kusini Bw. Chung Eui-yong ambaye yuko ziarani nchini Marekani jana alisema, Bw. Kim Jong-un aliitaka Korea Kusini kukabidhi nia yake ya kukutana na rais Trump haraka iwezekanavyo kwa Marekani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako