• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa Kenya afanya mazungumzo na kiongozi wa upinzani

  (GMT+08:00) 2018-03-09 19:09:47

  Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amefanya mazungumzo na kiongozi wa upinzani Raila Odinga jijini Nairobi, na viongozi hao wamekubaliana kutatua mgogoro wao wa kisiasa, na kusema mkutano huo ni mwanzo mpya kwa Kenya.

  Rais Kenyatta amesema, yeye na Bw. Odinga wamekubaliana kuanza mchakato mpya wa kuwaleta watu wao pamoja. Pia viongozi hao wamekubaliana kufanya kazi pamoja kuliunganisha na kuliendeleza taifa la Kenya, ambalo limekuwa na mgawanyiko wa kikabila tangu kufanyika kwa uchaguzi mkuu Agosti 27 mwaka jana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako