• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi kuu Uingereza: Michezo ya mwishoni mwa wikiendi: Chelsea yaichapa Crystal Palace huku Arsenal ikiona njia.

    (GMT+08:00) 2018-03-12 08:36:03
    Ligi kuu ya Uingereza imeendelea mwishoni mwa wikiendi hii, Chelsea wakiwa nyumbani darajani katika uwanja wa Stamford Bridge waliikaribisha Crystal Palace na kuipa kibano cha goli 2-1.

    Nayo Arsenal imeona njia kwa kuwalima Watford magoli 3-0. Ushindi huo unaiweka Arsenal katika nafasi ya sita, pointi 10 nyuma ya nafasi ya nne Totenham.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako