• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekebisho ya katiba yasaidia kudumisha amani na utulivu nchini China

    (GMT+08:00) 2018-03-12 09:53:17

    Mwenyekiti wa kamisheni ya masuala ya sheria ya Kamati ya kudumu ya Bunge la umma la China Bw. Shen Chunyao amesema marekebisho ya katiba yaliyopitishwa jana na bunge la umma la China, ikiwa ni pamoja na marekebisho kuhusu kipindi cha muda wa urais, yanasaidia kulinda amani na utulivu wa China.

    Bw. Shen Chunyao amesema marekebisho hayo ni mazuri kwa China kuimarisha mamlaka na uongozi wa Kamati kuu ya Chama cha kikomunisti cha China yenye Bw. Xi Jinping kuwa kiini chake.

    Bw. Shen Chunyao amesema hii ni hatua muhimu ya kuboresha mfumo wa uongozi wa nchi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako