• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Wang Yang achaguliwa kuwa mwenyekiti wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China

    (GMT+08:00) 2018-03-14 18:51:21

    Kikao cha nne cha wajumbe wote cha mkutano wa kwanza wa Baraza la 13 la Mashauriano ya Kisiasa la China kimefanyika leo alasiri hapa Beijing na kumchagua mwenyekiti, naibu mwenyekiti, katibu mkuu na wajumbe wa kudumu wa baraza hilo.

    Bw. Wang Yang amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la 13 la Mashauriano ya Kisiasa la China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako