• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa 5 wa jopo la wenyeviti wa Mkutano wa kwanza wa awamu ya 13 ya Bunge la umma la China wafanyika

    (GMT+08:00) 2018-03-16 10:19:24

    Mkutano wa 5 wa jopo la wenyeviti wa Mkutano wa kwanza wa awamu ya 13 ya Bunge la Umma la China ulifanyika tarehe 15 mchana katika Jumba la umma la China mjini Beijing, ambao uliamua kuwasilisha ripoti ya kazi ya serikali, ripoti ya mipango, mswada wa rasimu ya azimio kuhusu ripoti ya bajeti, marekebisho ya mswada wa sheria ya usimamizi na ukaguzi zilizopitishwa kwenye mkutano huo kwa wajumbe mbalimbali ili vijadiliwe.

    Mwenyekiti wa kudumu wa jopo hilo Bw. Li Zhanshu aliendesha mkutano huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako