• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ngorongoro Heroes yaitoa jasho Morocco

    (GMT+08:00) 2018-03-19 08:38:22
    Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Hereos imepata ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Morocco katika mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

    Mbele ya waziri mkuu Kassim Majaliwa akishuhudia mechi hiyo, goli la Ngorongoro Heroes lilifungwa na Muhsin Makame dakika ya 62 kwa mkwaju wa penalti.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako