• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nyasi bandia zaanza kutandikwa uwanja wa Mao Unguja

    (GMT+08:00) 2018-03-19 08:38:47

    Ujenzi wa uwanja wa kisasa wa Mao Tse Tung uliopo Kikwajuni mjini Zanzibar zinaendelea chini ya wahandisi wa kampuni ya kimataifa ya Zhengtai Group ya China, sasa umefikia katika hatua ya kuwekewa nyasi bandia.

    Tayari uwanja huo umewekewa taa ambazo zitasaidia michezo kuchezwa usiku, uwanja huo utakuwa na viwanja viwili vya mpira wa miguu, mpira wa kikapu, mpira wa mikono, mpira wa pete, mpira wa meza na sehemu ya kunyanyulia vifaa vizito uwanja huo utagharimu shilingi Bilioni 12.5

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako