• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hit Squad ya Kenya yapatiwa vifaa vya mazoezi kujiandaa na michezo ya jumuiya ya madola

    (GMT+08:00) 2018-03-19 08:39:09
    Timu ya taifa ya ndondi ya Kenya "Hit Squad" imepata msaada wa vifaa vya mazoezi vitakavyosaidia kujiandaa kushiriki mashindano ya michezo ya jumuiya ya madola yatakayofanyika mjini Gold Coast Australia mwezi ujao.

    Timu hiyo inawakilishwa na wachezaji 7 wa kiume na 3 wa kike inatarajiwa kuondoka March 24 kuelekea Australia. Mara ya mwisho Kenya kung'ara katika mashindano hayo ilikuwa mwaka 1990 ilimaliza nafasi ya kwanza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako