• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: kampuni za peana onyo ya kushuka kwa faida

    (GMT+08:00) 2018-03-19 19:32:10
    Ukosefu wa ajira nchini Kenya unasemekana kuongezeka kwa siku za hivi karibuni kutokana na kipindi kirefu cha uchaguzi huku, idadi kubwa ya makampuni ikitoa onyo la kushuka kwa faida.

    Mnamo mwaka 2017, maelfu ya ajira yalipungua katika sekta za benki na viwanda na kuogopesha sekta binafsi.

    Katika moja ya msimu mbaya zaidi wa mapato ya biashara, zaidi ya makampuni kadhaa yaliyoorodheshwa katika hisa ya Nairobi yametoa onyo ya faida.

    Faida za chini zatarajiwa kuathiri utendaji wa Kiuchumi.

    Katika miaka miwili iliyopita, makampuni mengi yameripoti kukabiliwa na mazingira magumu ya uendeshaji wa biashara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako