• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Droo ya hatua ya makundi kufanyika leo mjini Cairo

    (GMT+08:00) 2018-03-21 09:18:49

    Droo kwa ajili ya kupanga makundi ya klabu bingwa Afrika kwa timu zilizofuzu kwa hatua hiyo, inafanyika leo mjini Cairo nchini Misri majira ya saa mbili kwa saa za Afrika Mashariki.

    Timu 16 zilizofuzu msimu huu ni TP Mazembe (DRC), Al Ahly (Misri), Etoile Sahel (Tunisia), Difaa el Jadida (Morocco), Wydad Casablanca (Morocco), Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini), Zesco Utd (Zambia), Esperance (Tunisia), Entente Setif (Algeria), Mouloudia Alger (Algeria), KCCA (Uganda), Horoya (Guinea), Mbabane Swallows (Swaziland), Primeiro Agosto (Angola), Township Rollers (Botswana), na Port (Togo)

    Mechi za hatua ya makundi, zitaanza kupigwa kati ya Aprili 4 na 6 kwa hatua ya mechi za awali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako