• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Afrika Kusini kurekebisha uhusiano kati yake na Rwanda

    (GMT+08:00) 2018-03-21 10:01:27

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema nchi yake na Rwanda zitatatua changamoto zilizopo kwenye uhusiano kati ya nchi hizo mbili.

    Akizungumzia suala la ubalozi wa Afrika Kusini nchini Rwanda kutotoa visa kwa raia wa Rwanda, Rais Ramaphosa amesema mawaziri wa mambo ya nje wa nchi hizo watashughulikia suala hilo, na kuwa yeye na rais Kagame watasaini makubaliano ya kutatua suala hilo.

    Uhusiano kati ya nchi hizo mbili ulikuwa mbaya baada ya Afrika Kusini kuwafukuza wanadiplomasia watatu wa Rwanda mwaka 2014 waliohusika na shambulizi dhidi ya nyumba ya jenerali wa Rwanda aliyeishi uhamishoni mjini Johannesburg, na Rwanda alilipiza kisasi kwa kuwafukuza mabalozi sita wa Afrika Kusini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako