• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Korea Kusini kupendekeza kufanya mkutano wa ngazi ya juu kati yake na Korea Kaskazini wiki ijayo

  (GMT+08:00) 2018-03-22 19:39:55

  Korea Kusini imeamua kupendekeza kufanya mkutano wa ngazi ya juu na Korea Kaskazini tarehe 29 mwezi huu, na kufanya maandalizi ya mkutano wa viongozi utakaofanyika mwezi ujao.

  Uamuzi huo umefikiwa katika mkutano wa pili wa kamati ya maandalizi ya mazungumzo kati ya viongozi wa Korea Kusini na Korea Kaskazini uliofanyika jana na kuhudhuriwa na Rais Moon Jae-in wa Korea Kaskazini.

  Mkutano huo pia uliamua kuwa katika mkutano huo, Korea Kusini itawakilishwa na waziri wa masuala ya muungano Bw. Cho Myong-Gyon.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako