• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tovuti ya wizara ya ulinzi ya Russia yashambuliwa na wadukuzi

    (GMT+08:00) 2018-03-23 08:47:15

    Tovuti ya wizara ya ulinzi ya Russia imekumbwa na mashambulizi ya wadukuzi kutoka kwa Ulaya magharibi, Amerika kaskazini na Ukraine. Wizara hiyo imesema jana ilifanya upigaji kura wa kuchagua majina ya silaha tatu mpya za Russia kwenye tovuti ya wizara hiyo, na tovuti hiyo ilishambuliwa mara saba, saa moja kabla ya kumalizika kwa upigaji kura huo. Wizara hiyo pia imesema kitengo cha usalama wa mtandao kimefanikiwa kuzuia mashambulizi hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako