• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shirika la ndege la Kenya Airways lazindua kiti maalum kwa ajili ya kuongeza mapato yake

    (GMT+08:00) 2018-03-26 19:23:28

    Shirika la ndege la Kenya Airways limezindua kiti maalum katika ndege yake ya Dreamliner ikiwa ni juhudi za kuongeza mapato yake. Kiti hicho kitakuwa kwenye sehemu ya economy na bei yake itakuwa shilingi 10,200 zaidi ya viti vya kawaida katika sehemu hiyo ya Economy.Shirika hilo lilitoa tangazo hilo mjini Nairobi wakati wa ripoti ya miezi tisa ya mapato ya shirika hilo hadi Mwezi wa Disemba ilipokuwa ikitolewa. Shirika hilo liliingiza jumla ya shilingi bilioni 80.8 huku faida ikisalia kuwa shilingi bilioni 6.1.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako