• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la Dunia 2026: Mchakato wa kupata mwenyeji kati ya wanaowania nafasi hiyo waanza rasmi, mshindi kutangazwa Juni 13 usiku

    (GMT+08:00) 2018-03-27 09:54:58

    Shirikisho la vyama vya mpira wa miguu duniani FIFA, jana limepitisha rasmi na kutangaza kuwa jina la nchi itakayoandaa mashindano ya kombe la dunia mwaka 2026 litatangazwa machi 13 katika mkesha wa siku uzinduzi wa mashindano ya kombe la dunia mjini Moscow.

    Jina hilo litatokana majina ya nchi nne zinagombea nafasi ya kuandaa mashindano hayo ambazo ni Morocco, Mexico, Marekani na Canada.

    Rais wa FIFA Gian Infantino amesema kamati inayosimamia waandaaji wa mashindano itatembelea nchi zinazowania nafasi hiyo, na kuzungumza na wenyeji kabla ya kukutana ili kufanya uamuzi na kupitisha jina.

    Na ili kuongeza uwazi kila hatua ya mchakato huo hadi kumpata mshindi itakuwa ikirekodiwa na kutangazwa.

    Kipekee, Morocco imeandaa miji 12 yenye viwanja 14, huku miji ya Casablanca na Marakesh ikiwa na viwanja viwili kila mmoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako