• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Spika wa Bunge la Umma la China akutana na ujumbe wa wabunge wa Marekani

    (GMT+08:00) 2018-03-28 18:33:05

    Spika wa Bunge la Umma la China Bw. Li Zhanshu hapa Beijing amekutana na ujumbe wa wabunge wa Marekani unaoongozwa na seneta wa Marekani Bw. Steve Daines.

    Bw. Li amesema, uhusiano kati ya China na Marekani una umuhimu mkubwa kwa nchi hizo mbili na jumuiya ya kimataifa. Amezitaka nchi hizo kuendelea kuangalia na shughulikia uhusiano huo kwenye ngazi ya kimkakati na hali ya jumla, kuimarisha mawasiliano ya kimkakati, kutilia maanani ushirikiano na mazungumzo, kudhibiti tofauti na masuala nyeti na kuhakikisha uhusiano huo unaendelezwa kwenye njia sahihi.

    Bw. Daines amesema, uhusiano kati ya nchi hizo mbili ni muhimu, na Bunge la Marekani linataka kufanya juhudi kuhimiza hali ya kuaminiana na ushirkiano kati ya pande hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako