• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uturuki yaonya kuchukua hatua kama wapiganaji wakurdi hawataondoka Manbij, Syria

    (GMT+08:00) 2018-03-29 09:09:03

    Baraza la usalama la Uturuki limesema Uturuki itachukua hatua kama wapiganaji wakurdi wa kundi la YPG hawataondoka mara moja kutoka eneo la Manbij nchini Syria. Taarifa iliyotolewa na baraza hilo inasema magaidi mjini Manbij wanatakiwa kuondolewa haraka iwezekanavyo, la sivyo Uturuki haitajizuia kuchukua hatua. Taarifa pia imeonya kuwa Uturuki itachukua hatua kama Iraq ikishindwa kutokomeza shughuli za kundi la kigaidi la PKK nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako