• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sisi ashinda uchaguzi wa rais nchini Misri kwa kupata asilimia 92 ya kura

    (GMT+08:00) 2018-03-29 18:12:05

    Matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais nchini Misri yameonyesha kuwa rais wa sasa wa nchi hiyo Abdel-Fattah al-Sisi ameshinda kwa asilimia 92 ya kura.

    Tovuti ya serikal ya Al-Ahram imesema kuwa, Wamisri milioni 25 kati ya milioni 60 wanaoweza kupiga kura walijitokeza kupiga kura katika uchaguzi wa siku tatu ulioanza jumatatu wiki hii na kumalizika jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako