• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia yatangaza kuwafukuza wanadiplomasia 60 wa Marekani

    (GMT+08:00) 2018-03-30 08:55:20

    Wizara ya mambo ya nje ya Russia imetangaza kuwa itawafukuza wanadiplomasia 60 wa Marekani nchini humo na kufunga ubalozi mdogo wa Marekani mjini St. Petersburg, ikiwa ni hatua ya kujibu Marekani kuwafukuza wanadiplomasia wa Russia. Taarifa iliyotolewa jana na wizara hiyo inasema, kwa mujibu wa kanuni ya kutendeana kwa usawa, Russia itawaorodhesha wanadiplomasia 58 wa ubalozi wa Marekani nchini humo na wengine wawili wa ubalozi mdogo wa Marekani mjini Yekaterinburg kuwa "watu wasiokaribishwa", na kuwataka waondoke Russia kabla ya Aprili 5.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako