• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maelfu ya wapalestina waandamana kwenye mpaka na Israel

    (GMT+08:00) 2018-03-30 19:33:12

    Maelfu ya wapalestina wamekusanyika na kukaa katika eneo la mpaka kati ya Ukanda wa Gaza na Israel, huku Israel ikihofia sana na kuwa tayari kukabiliana na jaribio lolote la kuvuka mpaka.

    Jeshi la Israel limetangaza hali ya tahadhari na kupeleka vikosi katika eneo la mpaka wakiwemo walenga shabaha wengi ili kuzuia waandamaji hao kuingia nchini humo.

    Maandalizi ya "Maandamano Makubwa ya Kurudi" yalianza wiki kadhaa zilizopita na kamati ya uratibu wa wapalestina inayoundwa na makundi mbalimbali ya Palestina likiwemo kundi la Hamas na chama cha Fatah.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako