• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Karibu watu laki 5 wasafiri kwa reli kati ya Beijing na eneo jipya la Xiong'an

    (GMT+08:00) 2018-04-01 13:59:25

    Leo imetimia mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwa eneo jipya la Xiong'an mkonani Hebei China. Tangu treni zianze kusafiri kati ya Beijing na Baoding na kupita eneo jipya la Xiong'an mwezi Julai mwaka jana, watu wengi wamesafiri kwa kupanda treni hizo. Hadi kufikia tarehe 30 Machi mwaka huu, kwa ujumla abiria laki 4.878 walisafiri kwa treni hizi, na abiria laki 1.488 walipanda na kushuka kwenye vituo vya Baigou na Baiyangdian vya eneo la Xiong'an, ambao wanachukua asilimia 30 ya abiria wote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako