• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Algeria kuimarisha ushirikiano wa anga za juu

    (GMT+08:00) 2018-04-03 08:47:26

    China imesema inatarajia kuendeleza ushirikiano kati yake na Algeria kwenye sekta ya anga za juu. Naibu maneja mkuu wa kampuni ya sayansi na teknolojia ya anga za juu ya China Bw. Yang Baohua amesema China inatarajia ushirikiano halisi kwenye miradi ijayo ya sekta hiyo. Bw. Yang amesema hayo alipohudhuria sherehe ya kukabidhi udhibiti wa satellite ya kwanza ya mawasiliano ya Algeria iliyorushwa mwishoni mwa mwaka jana kutoka kituo cha kurushia satellite cha Xichang, China. Bw. Yang ameongeza kuwa mradi huo ni mfano mzuri wa ushirikiano wa kimkakati kati ya China na Algeria kwenye sekta ya anga za juu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako